Lissu Atolewa Risasi Nyingine Mwilini Mwake
Siku
35 baada ya Tundu Lissu kusema mwili wake bado una risasi moja baada ya
kutolewa nyingine 15, jana mbunge huyo wa Singida Mashariki (Chadema) alisema
kuwa madaktari wamemtoa kipande cha risasi kilichokuwa mwilini mwake.
Hata hivyo, mwanasheria
huyo mkuu wa Chadema, ambaye alishambuliwa kwa zaidi ya risasi 30 akiwa ndani
ya gari lililo ...